Uwanja wa ndege wa Pemba

Uwanja wa ndege wa Pemba / Karume (IATA: PMAICAO: HTPE) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia kisiwa cha Pemba nchini Tanzania.

Uwanja wa ndege wa Pemba / Karume
English: Pemba / Karume Airport
IATA: PMAICAO: HTPE
WMO: 63845
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar
Mahali Pemba, Tanzania
Mwinuko 
Juu ya UB
80 ft / 24 m
Anwani ya kijiografia 05°15′30″S 39°48′40″E / 5.25833°S 39.81111°E / -5.25833; 39.81111
Ramani
PMA is located in Tanzania
PMA
PMA
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
03/21 1,517 4 977 Lami

Viungo vya nje hariri