Vänersborg ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 21,672 (mwaka 2005).

Vänersborg
Mahali pa Vänersborg katika Västra Götalands län

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 11.57 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 107 km. Iko kando ya Ziwa Vänern.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vänersborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.