Varberg ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 26 041 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa takriban 1100.

Varberg

Jiografia hariri

Eneo lake ni 13.16 km². Iko kando ya Kattegat. Umbali na Jiji la Göteborg ni 80 km.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Varberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.