Verna Felton Millar (20 Julai, 1890 hadi 14 Desemba, 1966) alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Verna Felton

Verna Felton, mnamo 1960.
Amezaliwa Verna Arline Felton
(1890-07-20)Julai 20, 1890
Salinas, California, Marekani
Amekufa 14 Desemba 1966 (umri 76)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1900–1966
Ndoa Lee Carson Millar Sr. (1923-1941)
Watoto 1

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Verna Felton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.