VfL Wolfsburg
(Elekezwa kutoka Vfl Wolfsburg)
VfL Wolfsburg ni klabu inayoshiriki katika ligi ya Ujerumani Bundesliga ilichukuwa ubingwa mwaka 2008/2009, na ndio mara ya kwanza kuchukuwa ubingwa wa ligi hiyo tangu kuundwa kwake.
Wachezaji mashuhuri wanaoichezea klabu hiyo.
- Grafite Brazil
- Makoto Hasebe Japan
- Diego BenaglioUswisi
- Obafemi Martins Nigeria
- Karim ZianiAlgeria
- Andrea Barzagli Itali
- Edin Džeko Bosnia na Herzegovina
- Josué Brazil
Viungo vya nje
hariri- [ Official Website] ()
- [ Official facebook]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu VfL Wolfsburg kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |