Vicenza ni mji wa Italia katika mkoa wa Veneto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 115,000 wanaoishi katika mji huo. Mji upo mita 12 juu ya usawa wa bahari.

Sehemu za Mji wa VicenzaVicenza
Nchi Italia
Mkoa Veneto
Wilaya Vicenza
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 115,012
Tovuti:  www.comune.vicenza.it/

Picha hariri

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vicenza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.