Victor Boniface
Victor Okoh Boniface (alizaliwa 23 Desemba 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Nigeria, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Nigeria.
Marejeo
hariri- ↑ "Victor Okoh Boniface | Bayer 04 Leverkusen | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Victor Boniface kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |