Victor Francis Hess (24 Juni 188317 Desemba 1964) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Mwaka wa 1938 alihamia Marekani. Hasa alichunguza mionzi katika anga ya nje. Mwaka wa 1936, pamoja na Carl David Anderson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Victor Hess
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victor Hess kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.