Vincent du Vigneaud

Vincent du Vigneaud (18 Mei 190111 Desemba 1978) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza homoni mbalimbali na usanisi wake. Mwaka wa 1955 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Vincent du Vigneaud
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent du Vigneaud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.