Kipodozi

(Elekezwa kutoka Vipodozi)

Kipodozi (kutoka kitenzi "kupodoa"; kwa Kiingereza: "cosmetics") ni kifaa chochote cha kukwatua ngozi ili kuongeza uzuri wa mtu, hasa mwanamke.

Aina mbalimbali za vipodozi vya kisasa.

Mifano ya vipodozi ni: poda, wanja, losheni, marashi n.k.

Baadhi yake vimechanganikana na sumu au kemikali zenye madhara, hivyo vinakatazwa na sheria. Katika nchi za Marekani, kuna sheria ambazo zimekataza kuuza kwa vipodozi ambavyo huenda zikaathiri ngozi ya mtumiaji. Sheria hizi ni kama Federal Food, Drug and Cosmetic Act na Fair Packaging and Labelling Act.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipodozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.