Visoda ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu unashirikisha watoto wawili na kuendelea. Hao hutumia vizibo vya chupa za soda.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Visoda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.