Viunganishi halisi

Mifano
  • Baba na mama
  • Aliyefyeka lakini hakulima
  • Nimekula ingawa sikushiba
  • Dada anapika na mama anafua


Viunganishi halisi (alama yake ya kiisimu ni: U) ni aina ya viunganishi ambavyo vinaunganisha vipashio vyenye hadhi sawa kisarufi. Yaani, kaka na dada, bibi na babu, n.k.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viunganishi halisi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.