Viunganishi vihusishi
Mifano |
---|
|
Viunganishi vihusishi (alama yake ya kiisimu ni: U) ni aina ya viunganishi ambavyo vinaunganisha vipashio vyenye hadhi tofauti kisarufi. Wakati mwingine unaweza kuwa na muunganiko wa vipashio viwili au zaidi vyenye hadhi tofauti katika sarufi. Viunganishi vinavyotumika kuunganisha vipashio hivyo huitwa "vipashio vihusishi". Huitwa hivyo hivyo kwa sababu kazi yake ni kujulisha uhusiano uliopo baina ya vipashio hivyo.
Uchambuzi
haririMifano ya pamoja:
- Husna aliondoka pamoja na na mama yake (Husna = nomino ya pekee, aliondoka = kitenzi kikuu, pamoja na = kiunganishi, na = kiungani, mama = nomino ya kawaida, yake = kivumishi cha kumiliki)
- Watoto wamemuua Simba pasipo hofu
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viunganishi vihusishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |