Vivian Mensah (alizaliwa 13 Juni 1972) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ghana ambaye alicheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake la 1999.[1] Katika ngazi ya klabu anachezeatimu ya La Ladies ya Ghana.

Vivian Mensah
Nchi Ghana
Kazi yake Mchezaji wa soka

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 – Ghana". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 2, 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivian Mensah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.