Viviane Marie-Louise Blanche Asseyi (alizaliwa 20 Novemba 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ufaransa.[2][3]

Asseyi akiichezea Montpellier mnamo 2013

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viviane Asseyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.