Vivumishi vya idadi

Mifano
  • Watu 'wanne wamepotea, idadi halisi/kamili
  • Wanafunzi saba wamefaulu, idadi halisi/kamili
  • Nyumba nyingi hazina umeme, idadi ya jumla
  • Simba wachache wamevamia kijiji, idadi ya jumla

Vivumishi vya idadi (pia" Vivumishi vya kiasi) ni neno/maneno yanayotoa taarifa ya idadi ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino. Idadi hiyo inaweza kuwa ya jumla au idadi kamili au halisi.

Mifano
  • Wanafunzi wawili wamelala darasani
  • Wajumbe sita wamesimamishwa
  • Nyoka wengi wana sumu kali
  • Maembe machache yameiva
  • Wananchi wengi wameandamana

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya idadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.