Vivumishi vya sifa

Mifano
  • Ghorofa refu limeporomoka
  • Askari mtiifu kaacha kazi
  • Kijana mwerevu amefaulu
  • Mwenye moyo wa huruma anisaidie

Vivumishi vya sifa ni neno/maneno ambayo hutaja maana ya sifa ya nomino au kiwakilishi cha nomino jinsi kilivyo.

Mifano
  • Paka mwizi amelala jikoni
  • Ugonjwa hatari umeukumba dunia
  • Gari zuri limegongwa
  • Nyumba kubwa imejengwa bondeni
  • Kijana mpole kasusa kula

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya sifa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.