Viwakilishi vya -a unganifu

Mifano
  • 'Vya jirani havifai
  • Cha kubebea kimetoka
  • Za Bukoba ni tamu
  • Za kwetu zimeisha

Viwakilishi vya -a unganifu ni neno/maneno ya sifa - yanayosimama badala ya nomino inayosifiwa kwa kutumia mzizi wa -a unganifu.

Mifano
  • Ya moto yanaunguza
  • Wa Mbeya ni mweupe
  • Vya China ni imara sana
  • Cha kukalia kimevunjika
  • La saba wamehitimu
Tokeo la matumizi ya juu
  • Y a moto yanaunguza
  • W a Mbeya ni mweupe
  • Vy a China ni imara sana
  • Ch a kukalia kimevunjika
  • L a saba wamehitimu

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya -a unganifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.