Volcán de Fuego de Colima

Volcán de Fuego de Colima ni mlima na volkeno hai nchini Meksiko katika Amerika ya Kaskazini.

Volcán de Fuego de Colima

Una kimo cha mita 3,820 juu ya UB.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Volcán de Fuego de Colima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.