Voncariana ulikuwa mji wa kale katika Dola la Roma, ambapo waliishi jamii ya Waberberi. Mji huu ulikuwa katika jimbo la Mauretania Caesariensis. Magofu yake hupatikana katika mji wa Boghasi huko Algeria.

Kwa sasa ni jimbo jina (kwa Kilatini: Dioecesis Voncarianensis) [1] [2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Voncariana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.