Orodha ya Vyuo Vikuu vya Kenya
(Elekezwa kutoka Vyuo vikuu vya Kenya)
Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Kenya.
- Chuo Kikuu cha Kenyatta - Nairobi
- Chuo Kikuu cha Moi - Eldoret
- Chuo Kikuu cha Nairobi - Nairobi
- Chuo Kikuu cha Egerton - Njoro, Nakuru
- Chuo Kikuu cha Maseno - Maseno, Kisumu
- Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta - Juja, Thika
- Chuo cha Teknolojia cha Kimathi - Nyeri
- Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro - Kakamega
- Chuo cha Polytechnic cha Kenya - Nairobi
- Chuo cha Kisii - Kisii
- Chuo cha Polytechnic cha Mombasa - Mombasa
- Chuo cha Multimedia cha Kenya - Nairobi
- Chuo cha Pwani - Kilifi
- Chuo cha Narok - Narok
- Chuo cha Kusini-Mashariki
- Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Meru - Meru
- Chuo cha Bondo
- Chuo cha Kabianga
- Chuo cha Chuka
- Chuo cha Laikipia
- Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Kiambu (Institute of Science and Technology)
- Kiambu Mesburn Institute - Meru