Waalur ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini magharibi mwa Uganda (Wilaya ya Nebbi, Wilaya ya Zombo na Wilaya ya Arua) na kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ushanga wa Kialur
Zeze za Kialur]]

Wanakadiriwa kuwa 1,735,000 hivi.

Lugha ya wengi wao ni Kialur, mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waalur kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.