Wachuuzi wa Data (Soko la Hisa la Nairobi)

Kutokana na kuongezeka kwa idadi ya makampuni yaliyosajiliwa katika Soko la Hisa la Nairobi, makampuni za uchuuzi wa data inayotumika kuuza na kununua hisa yameongezeka.

Umuhimu wa DataEdit

Lengo kuu ya kuuza na kununua hisa katika soko ni kupata faida kifedha. Hivyo basi, wafaa kuwa na habari/data yote inayohusiana na hisa ya makampuni uliyonayo na unayotaka kununua. Umuhimu wa data hii kwa wawekezaji wa hisa ni kama vile:

  • Wawekezaji wa dhana hutumia data hii kuagua bei ya hisa mbali mbali katika wakati wa karibu ujao
  • Mabenki ya uwekezaji hutumia data hii kuchagua makampuni watakayonunua
  • Makampuni hutumia data hii sana sana inayolegea upande wa utendaji wa uchumi ili kupanga mienendo yake ya usoni

Asili ya DataEdit

Kama jina inavyoashiria, 'wachuuzi wa data' hushughulika na kueneza kwa data hiyo. Hivyo basi, hukusanya data kutoka kwa asili mbali mbali na kuieneza kwa wanaohitaji kwa mfano, wawekezaji katika soko la hisa. Asili ya data hii ni kama vile:

Orodha ya Wachuuzi wa DataEdit

Jedwali lifwatalo laonyesha makampuni ya uchuuzi wa data nchini Kenya.

Knowing Limited
Norfolk Tower, Block G, Ghorofa ya 1
Sanduku la Posta 5831-00100
Nairobi Kenya
Simu: 254 20 2211925/26
Nukunishi: 254 20 2211955
Barua Pepe: knowing@africaonline.co.ke
Website Archived 20 Juni 2014 at the Wayback Machine.
RICH Management Limited
Ghorofa ya 8 Purshottam Place, Barabara ya Chiromo
Sanduku la Posta 66217-0800
Nairobi, Kenya.
Simu: +254 20 3601817
Nukunishi: +254 20 3601100
Rununu: +254 735 947 214
Barua Pepe: info@rich.co.ke
Website
Information Convergence Technologies
Ghorofa ya 7, United Insurance Towers
Barabara ya Westlands, Off Museum Hill
Sanduku la Posta 11797 – 00100 Nairobi, Kenya
Simu +254 20 375 4286
Barua Pepe: info@ictkenya.com
Website Archived 12 Agosti 2020 at the Wayback Machine.
Synergy Systems Ltd.
Ghorofa ya 2 Narshi House
Barabara ya Moktar Daddah
Sanduku la Posta 53475 00200
NAIROBI
Simu (020) 240434/340242
Barua Pepe: info@synergy.co.ke
Website
Standard Group Limited
The Standard Group Center, Barabara ya Mombasa
Sanduku la Posta 30080 – 00100
Nairobi Kenya
Simu: 3222111
Bloomberg L.P
chini ya
Nick Ogbourne
EMEA Exchange Feeds, Bloomberg LP
Office: 44 207 673 2120 Mob: 07866 684404
Barua Pepe: nogbourne@bloomberg.net; exfeeds@bloomberg.net
Thomson Reuters
No. 1 Mark Square
Barabara ya Leonard
London EC2A 4EG UK
Simu: +442070684429
Simu ya Rununu: +447990562549
Mobile Planet.
Westlands Office Park (Baobab, Ghorofa ya 2),
Waiyaki Way
Sanduku la Posta 565 Sarit Centre 00606-Nairobi,
Kenya
Simu: +254 (20) 4456182, 4456183
Nukunishi: +254 (20) 4456184
Barua Pepe: info@mobileplanet.co.ke
Royal Media Services
Communication Centre,Barabara ya Maalim Juma,Off
Barabara ya Dennis Pritt
Sanduku la Posta 7468-00300 Nairobi,Kenya
Simu: + 254 (0) 202721415/6,2718506/7
Nukunishi: + 254 (0) 202724220,2724 211
Simu ya Rununu: +254 (0) 722-202305/ 0735-969696,
Barua Pepe:citizen@royalmedia.co.ke

Angalia piaEdit

Viungo vya njeEdit