Wafumbira
Wafumbira (kwa Kifumbira au Rufumbira: Bafumbira (umoja: Mufumbira)) ni kabila la kusini magharibi mwa Uganda (wilaya ya Kisoro).
Zamani walikuwa chini ya Rwanda, na mpaka leo lugha yao inafanana na Kinyarwanda[1][2].
Leo wengi wao ni Wakristo.
Tanbihi
hariri- ↑ Mahmood, Mamdani (2014). When Victims Become Killers: Colonialism, Nativism, and the Genocide in Rwanda. Princeton University Press. uk. 162. ISBN 9781400851720. Iliwekwa mnamo 27 Januari 2015.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Jeremy M. Weinstein; James Habyarimana; Macartan Humphreys; Daniel N. Posner (2009). Coethnicity: Diversity and the Dilemmas of Collective Action. Russell Sage Foundation. uk. 148. ISBN 9781610446389. Iliwekwa mnamo 27 Januari 2015.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wafumbira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |