Wahausa ni watu wa Afrika wanaoishi Afrika Magharibi kati nchi za Niger na Nigeria.

Wanaosema Kihausa nchini Niger.
Wahausa nchini Nigeria.

Lugha yao ni Kihausa, moja kati ya lugha kubwa zaidi barani Afrika.


Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahausa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.