Wakala (kutoka neno la Kiarabu; pia "ajenti" kutoka Kiingereza "agent") ni mwakilishi wa serikali, kampuni, asasi au shirika fulani katika kutekeleza jukumu fulani.

Scale of justice 2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakala kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.