Wakoloni wakuu wa Kenya
Orodha ya wakoloni wakuu wa Kenya (tarehe katika italiki zinaonyesha muendelezo wa ofisi) de facto
Muda wa Utawala | Mtawala | Vidokezo |
---|---|---|
Mamlaka ya Uingereza | ||
25 Mei 1887 | Maeneo ya pwani yalitolewa na Sultani wa Zanzibar kwa "British East Africa Association" | |
25 Mei 1887 hadi 3 Septemba 1888 | Mheshimiwa William Mackinnon, Rais wa British East Africa Association | |
3 Septemba 1888 hadi 1889 | Mheshimiwa William Mackinnon, Rais wa Imperial British East Africa Company | |
1889-1890 | George Sutherland Mackenzie, Mtawala | |
Mei 1890 hadi Februari 1891 | Francis Walter de Winton, Mtawala | |
Septemba 1891-1892 | Lloyd William Matthews, Mtawala | |
Februari 1892-1893 | Mheshimiwa Gerald Herbert Portal , Mtawala | |
British East Africa Protectorate | ||
1 Julai 1895 | ||
Julai 1895-1897 | Arthur Henry Hardinge, kamishna | |
1897 hadi Oktoba 1900 | Mheshimiwa Arthur Henry Hardinge, kamishna | |
Desemba 1900-1904 | Mheshimiwa Charles Eliot, kamishna | |
20 Juni 1904 hadi 1 Oktoba 1905 | Mheshimiwa Donald William Stewart, kamishna | |
12 Desemba 1963 hadi 12 Desemba 1964 | Mheshimiwa James Hayes Sadler, kamishna | |
31 Desemba 1905 hadi 1909 | Mheshimiwa James Hayes Sadler, Gavana | |
16 Septemba 1909 hadi Julai 1912 | Mheshimiwa Edouard Percy Cranwill Girouard, Gavana | |
3 Oktoba 1912 hadi 1917 | Mheshimiwa Henry Conway Belfield, Gavana | |
1917-1919 | Mheshimiwa Charles Calvert Bowring, Kaimu Gavana | |
22 Julai 1919 hadi 1920 | Mheshimiwa Edward Northey, Gavana | |
Kenya Colony na Protectorate | ||
1920-1922 | Mheshimiwa Edward Northey, Gavana | |
15 Agosti 1922 hadi 1925 | Mheshimiwa Robert Thorne Coryndon | |
2 Oktoba 1925 hadi 1930 | Edward William Macleay Grigg | |
13 Februari 1931 hadi 1936 | Mheshimiwa Joseph Aloysius Byrne | |
6 Aprili 1937 hadi 1939 | Mheshimiwa Robert Brooke-Popham | |
9 Januari 1940 hadi 1944 | Mheshimiwa Henry Monck-Mason Moore | |
11 Desemba 1944 hadi 1952 | Mheshimiwa Philip Euen Mitchell | |
30 Septemba 1952 hadi 1959 | Mheshimiwa Evelyn Baring | |
23 Oktoba 1959 hadi 1962 | Mheshimiwa Muir Patrick Renison | |
4 Januari 1963 hadi 12 Desemba 1963 | Malcom John MacDonald | |
12 Desemba 1963 | Uhuru kama Kenya |
Kwa mfululizo baada ya uhuru, angalia: Wakuu wa Nchi ya Kenya