Wakuu wa Serikali ya Kenya

Orodha ya wakuu wa serikali ya Kenya

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Muda wa Utawala Mtawala Chama cha Kisiasa Vidokezo
Enzi ya Kenya
12 Desemba 1963 hadi 12 Desemba 1964 Jomo Kenyatta, Waziri Mkuu KANU Kuwa Rais
Jamhuri ya Kenya
12 Desemba 1964 hadi 17 Aprili 2008 Ilibadilishwa na Urais aliyekuwa na mamlaka yote ya nchi. --
17 Aprili 2008 hadi sasa Raila Odinga, Waziri Mkuu ODM

Kufuatia makubaliano ya kugawana madaraka mwezi Februari 2008 afisi ya Waziri Mkuu, iliundwa tena mwezi wa Aprili 2008.

Angalia PiaEdit