Naibu rais wa Kenya

(Elekezwa kutoka Makamu wa Rais wa Kenya)


Naibu rais ni afisa mtendaji wa pili juu zaidi katika serikali ya Kenya:

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Orodha

hariri
Picha Jina Muda wa ofisi Chama cha siasa
  Jaramogi Oginga Odinga

(1911–1994)

1964 1966 KANU
  Joseph Murumbi

(1911–1990)

1966 1966 KANU
  Daniel arap Moi

(1924–2020)

1967 1978 KANU
  Mwai Kibaki

(1931–2022)

1978 1988 KANU
  Josephat Karanja

(1931–1994)

1988 1989 KANU
  George Saitoti

(1945–2012)

1989 1998 KANU
2002 1999
  Musalia Mudavadi

(born 1960)

2002 2003 KANU
  Michael Kijana Wamalwa

(1944–2003)

2003 2003[†] NARC
  Moody Awori

(born 1928)

2003 2008 NARC / PNU
  Kalonzo Musyoka

(born 1953)

2008 2013 ODM–K
  William Ruto

(born 1966)

2013 2022 Jubilee
  Geoffrey Rigathi Gachagua

(born 1965)

2022 2024 UDA
  Abraham Kithure Kindiki

(born 1972)

2024 UDA

maana yake, amefariki madarakani

Angalia pia

hariri