Wakore ni kabila dogo (watu 200-250 mwaka 1985) la jamii ya Wamasai wanaoishi kaskazini mwa Kenya katika kisiwa cha Lamu.

Lugha yao ni Kisomali, mojawapo kati ya lugha za Kikushi.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakore kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.