Wanda
Kwa dhana ya jiometri na hisabati, angalia makala ya Pandeolwa
Wanda (wingi: "nyanda") ni kipimo cha urefu kinacholingana na upana wa kidole kimoja au karibu inchi moja. Vipimo vya kufanana vilitumiwa katika nchi na tamaduni mbalimbali kwa kutumia upana wa kidole gumba.[1]
Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, si kipimo sanifu cha kisasa.
Marejeo
hariri- ↑ Kamusi ya Kiswahili Sanifu (tol. la 4). Dar es Salaam: TUKI. 2019. uk. 725. ISBN 978 019 574616 7.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wanda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |