Waoromo ni kabila kubwa la watu (35,000,000) wa jamii ya Wakushi wanaoishi nchini Ethiopia, lakini pia Kenya na Somalia.

Uenezi wa Kioromo na lahaja zake.

Lugha yao ni Kioromo, kubwa kuliko zote kati ya lugha za Kikushi.

Wengi wao ni Waislamu na Wakristo.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waoromo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.