Wasagalla ni kabila la watu wa jamii ya Wabantu wanaoishi kusini mashariki mwa Kenya, katika milima ya Taita kaunti ya Taita-Taveta.

Lugha yao ni Kisagalla, mojawapo kati ya lugha za Kibantu ambayo inafanana na Kitaita na pia Kichaga.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasagalla kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.