Wataru Endō

Wataru Endō

Wataru Endō (alizaliwa tarehe 9 Februari mwaka 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani anayecheza kwenye klabu ya Diamond Urawa Red, ambaye alijiunga baada ya kuanza kazi yake ya kitaaluma na klabu ya Shonan Bellmare.

Kazi ya kimataifaEdit

Tarehe 23 Julai 2015, kocha wa Japan Vahid Halilhodžić alimwita katika kikosi ha kuwakilisha taifa katika Kombe la Asia Mashariki (EAFF) mwaka 2015.

Mnamo Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha kwanza cha Japan kwa Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wataru Endō kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.