What About Your Friends
What About Your Friends ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa TLC. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, albamu ina nyimbo kibao za TLC zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iitwe "Troublesome 21", hiyo 21 inataja umri wa Shakur kwa kipindi hicho. Inasimama kama "Never Ignorant Getting Goals Accomplished." Yaani "Mjinga Kamwe Hafanikishi Malengo."
“What About Your Friends” | |||||
---|---|---|---|---|---|
“What About Your Friends” cover | |||||
Single ya TLC kutoka katika albamu ya Ooooooohhh... On the TLC Tip | |||||
Imetolewa | 28 Oktoba 1992 | ||||
Muundo | 12-inch single CD single Cassette single | ||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||
Aina | Political Hip hop | ||||
Urefu | 4:55 | ||||
Studio | LaFace | ||||
Mtunzi | TLC | ||||
Mtayarishaji | Stretch | ||||
Mwenendo wa single za TLC | |||||
|
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|