White Shadow (filamu)

White Shadow ni filamu ya maigizo ya kimataifa iliyoandikwa mnamo mwaka 2013, iliyozalishwa na kuelekezwa na Noaz Deshe. [1][2]

Ni filamu iliyozalishwa kwa ushirikiano wa kimataifa kati ya Ujerumani, Italia na Tanzania. Filamu hiyo ilionyeshwa katika Critics’ Week selection kwenye Tamasha la 70 la Kimataifa la Venice mnamo Septemba 2, 2013. Ilishinda tuzo ya Simba Future kwenye tamasha hilo[3][4]

Filamu hiyo baadaye ilionyeshwa katika World Cinema Dramatic mwaka 2014 Sundance Film Festival mnamo Januari 17, 2014. [5][6].Filamu hiyo pia ilionyeshwa mnamo 2014 katika San Francisco International Film Festival mnamo Mei 4, 2014. .[7][8][9]Ryan Gosling,Matteo Ceccarini pamoja na Eva Riccobono walihudumu kama watayarishaji wakuu wa filamu hiyo. .[10][11]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu White Shadow (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.