Whitney Houston (albamu)

Whitney Houston ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa pop na R&B wa Kimarekani Bi. Whitney Houston. Albamu ilitolewa tarehe 4 Februari 1985 kwenye studio ya Arista Records. Awali albamu ilikuwa na matokeo madogo ya kibiashara, lakini imeanza kukusanya mafanikio yake kunako 1986 kwa msaada wa vikali vikali vitatu vilivyoingia kwenye chati za Billboard Hot 100 vikiwa nafasi ya kwanza. Albamu inabaki kuwa kama albamu iliouza vizuri kwa upande Houston mpaka leo hii, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 25 kwa dunia nzima,[10] na pia ni miongoni mwa albamu zilizouza vizuri nchini Marekani na pande zingine za dunia kwa muda wote. Whitney Houston

Whitney Houston
Whitney Houston Cover
Studio album ya Whitney Houston
Imetolewa 14 Februari 1985
Imerekodiwa 1983 - 1985
Aina R&B, pop, dance, soul
Urefu 47:23
Lebo Arista
Mtayarishaji Jermaine Jackson, Kashif, Michael Masser, Narada Michael Walden
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Whitney Houston
Whitney Houston
(1985)
Whitney
(1987)
Single za kutoka katika albamu ya Whitney Houston
  1. "Hold Me"
    Imetolewa: 1984
  2. "Someone for Me/Thinking About You"
    Imetolewa: Januari 1985
  3. "You Give Good Love"
    Imetolewa: Aprili 1985
  4. "Saving All My Love for You"
    Imetolewa: Agosti 1985
  5. "How Will I Know"
    Imetolewa: Februari 1986
  6. "Greatest Love of All"
    Imetolewa: Machi 1986


Orodha Nyimbo

hariri
  1. "You Give Good Love" (LaLa) – 4:37
  2. "Thinking About You" (Kashif, LaLa) – 5:26
  3. "Someone for Me" (Raymond Jones, Freddie Washington) – 5:01
  4. "Saving All My Love for You" (Gerry Goffin, Michael Masser) – 3:58
  5. "Nobody Loves Me Like You Do" (James Patrick Dunne, Pamela Phillips-Oland) – 3:49
  6. "How Will I Know" (George Merrill, Shannon Rubicam) – 4:36
  7. "All at Once" (Masser, Jeffrey Osborne) – 4:29
  8. "Take Good Care of My Heart" (Steve Dorff, Pete McCann) – 4:16
  9. "Greatest Love of All" (Linda Creed, Masser) – 4:51
  10. "Hold Me" (Creed, Masser) – 6:00

Historia ya chati

hariri
Albamu
Nchi Nafasi
Iliyoshika
Jumla
Majuma
Certifications Mauzo
US Billboard 200 1 162 Diamond+3xPlatinum 14,200,000
U.S. Top Black Albums 1 -
Australia 1 125 4x Platinum 400,000
Kanada 1 99 Diamond 1,000,000
Switzerland 2 32 - -
Austria 9 32 - -
Sweden 1 32 - -
Norway 1 28 - -
UK Albums Chart 1 - 6x Platinum 1,800,000
German Albums Chart 1 67 Platinum 500,000
Italia 1 29 - -
Ufaransa 13 - Gold 100,000
Japan 4 76 - 460,000
New Zealand 1 103 2x Platinum 40,000
Netherlands 6 63 Platinum 80,000

| width="50%" align="left" valign="top" |

Single
Mwaka Single Chati Nafasi
1985 "You Give Good Love" Adult Contemporary 4
Hot Black Singles 1
The Billboard Hot 100 3
"Saving All My Love for You" Adult Contemporary 1
Hot Black Singles 1
The Billboard Hot 100 1
UK Singles Chart 1
"Thinking About You" Hot Dance Music/Club Play 24
Hot Black Singles 10
1986 "How Will I Know" Adult Contemporary 1
Hot Black Singles 1
The Billboard Hot 100 1
Hot Dance Music/Club Play 3
UK Singles Chart 5
"Greatest Love of All" Adult Contemporary 1
Hot Black Singles 3
The Billboard Hot 100 1
UK Singles Chart 8

|}

Tanbihi

hariri
  1. Wynn, Ron. Review: Whitney Houston. Allmusic. Retrieved on 2009-08-07.
  2. Rogers, Prentis. "Review: Whitney Houston". Atlanta Journal-Constitution: 22. 30 Machi 1985.
  3. Christgau, Robert. "Review: Whitney Houston". The Village Voice: 30 Aprili 1985. Archived from the original on 2009-08-07.
  4. Columnist. Review: Whitney Houston. Los Angeles Times. Retrieved on 2009-08-07. Note: Original star ratings represented by (*) are not reprinted at the url page.
  5. Columnist. "Review: Whitney Houston Ilihifadhiwa 16 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.". Q: 160. Desemba 1999.
  6. Devitt, Rachel. Review: Whitney Houston. Rhapsody. Retrieved on 2009-08-07.
  7. Shewey, Don. Review: Whitney Houston Ilihifadhiwa 22 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.. Rolling Stone. Retrieved on 2009-08-07.
  8. Larkin, Colin. "Review: Whitney Houston Ilihifadhiwa 21 Julai 2009 kwenye Wayback Machine.". Virgin Encyclopedia of Popular Music: 1 Machi 2002.
  9. Leroy, Dan. Review: Whitney Houston Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.. Yahoo! Music. Retrieved on 2009-08-07.
  10. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-15. Iliwekwa mnamo 2009-10-10.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Whitney Houston (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.