Wikipedia ya Kibulgaria

Wikipedia ya Kibulgaria (Kibulgaria: Уикипедия) ni toleo la Wikipedia kwa lugha ya Kibulgaria.

Wikipedia ya Kibulgaria
Wikipedia-logo-v2-bg.png
Kisarahttp://bg.wikipedia.org/
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKibulgaria
MmilikiWikimedia Foundation

TakwimuEdit

Mnamo tar. 24 Novemba 2005, Wikipedia ya Kibulgaria imefikisha makala 20,000, na ilikuwa Wikipedia ya 21 kwa ukubwa kwa wakati huo. Wikipedia ya Kibulgaria imebaki kuwa toleo kubwa tu la Wikipedia. Na kwa tar. 26 Desemba 2007, imekuwa Wikipedia ya 30 kwa ukubwa wa wingi wa hesabu ya makala, kwa kuwa na zaidi ya makala 50,000.[1][2]

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikipedia ya Kibulgaria ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kibulgaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.