Wikipedia ya Kikorea

Wikipedia ya Kikorea ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kikorea. Ilianzishwa mnamo mwezi wa Oktoba, 2002, na kufikisha idadiki ya makala elfu kumi mnamo tar. 4 Juni katika mwaka wa 2005.[1] Na kwa tar. 15 Desemba ya 2010, imefikisha zaidi ya makala 150,000 na kuifanya iwe Wikipedia ya 21 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.[2]

Wikipedia ya Kikorea

"Wikipedia - the encyclopedia that belongs to us all."

Marejeo hariri

  1. "Meta Milestones Page" (Web) (kwa English). Wikimedia Foundation Inc. 2005. Iliwekwa mnamo 2007-09-06. 
  2. "List of Wikipedias" (Web) (kwa English). Wikimedia Foundation Inc. 2008. Iliwekwa mnamo 2007-09-06. 

Viungo vya nje hariri

 
Wikipedia
Wikipedia ya Kikorea ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kikorea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.