Wilaya ya Babati

Wilaya ya Babati ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Babati ilihesabiwa kuwa 303,013 [1].

Mahali pa Babati (kijani) katika mkoa wa Manyara.

Mwaka 2012 wilaya hii ilimegwa kuwa wilaya mbili za Wilaya ya Babati Mjini (Babati Town ouncil) na Wilaya ya Babati Vijijini (Babati District Council).

MarejeoEdit

  1. Tanzania.go.tz/census/districts/babati. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
  Kata za Wilaya ya Babati - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Arri | Babati (mji) | Bashnet | Bonga | Dabil | Dareda | Duru | Gallapo | Gidas | Kiru | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nkaiti | Qash | Riroda | Sigino | Singe | Ufana |


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Babati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.