Wilaya ya Budaka
Wilaya ya Budaka ni wilaya moja ya Mkoa wa Mashariki, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 293,600.
Wilaya ya Budaka | |
Mahali pa Wilaya ya Budaka katika Uganda | |
Majiranukta: 01°01′N 33°57′E / 1.017°N 33.950°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Budaka |
Eneo | |
- Jumla | 384 km² |
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio) | |
- Wakazi kwa ujumla | 293,600 |
Tovuti: http://www.budaka.go.ug |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Budaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |