Wilaya ya Bunda Mjini

Wilaya ya Bunda Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara.

Mahali pa wilaya za Bunda (kijani cheusi) katika mkoa wa Mara.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya ya Bunda ilihesabiwa kuwa 260,000 [1] na katika ile ya mwaka 2022, baada ya kumegwa, wale wa Mjini walihesabiwa 182,970 [2].

Makao makuu ya wilaya yapo mjini Bunda.

Misimbo ya posta wilayani ni 31501 hadi 31528. 

Marejeo hariri

  1. "Tanzania.go.tz/census/census/districts/bunda". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17. 
  2. https://www.nbs.go.tz
  Kata za Wilaya ya Bunda Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania  

Balili | Bunda Mjini | Bunda Stoo | Guta | Kabarimu | Kabasa | Kunzugu | Manyamanyama | Mcharo | Nyamakokoto | Nyasura | Nyatwali | Sazira | Wariku


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bunda Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.