Wilaya ya Butebo
Wilaya ya Butebo ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Pallisa.
Wilaya ya Butebo | |
Majiranukta: 01°12′N 33°55′E / 1.200°N 33.917°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Butebo |
Idadi ya wakazi (2008) | |
- Wakazi kwa ujumla | 120,000 |
Tovuti: http://www.butebo.go.ug |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Butebo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |