Wilaya ya Gakenke inapatikana katika mkoa wa Kaskazini nchini Rwanda.

Picha ya ramani ikionesha eneo la Wilaya ya Gakenke

Makao makuu yako Gakenke.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Gakenke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.