Wilaya ya Kyerwa
Wilaya ya Kyerwa ni wilaya mpya katika mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35800 [1] ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012[2]. Wakati wa sensa ya 2012 walikuwa wakazi waishio humo. [3].
Makao makuu ya wilaya yako Ruberwa[4].
Marejeo Edit
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ http://tanzaniangovernment.blogspot.com/2013/07/rais-kikwete-azindua-wilaya-ya-kyerwa.html Archived 29 Machi 2015 at the Wayback Machine. Rais azindua Wilaya ya Kerya
- ↑ Sensa ya 2012, Kagera - Kyerwa District Council
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-07-26. Iliwekwa mnamo 2015-09-13.
|
Kata za Wilaya ya Kyerwa - Mkoa wa Kagera - Tanzania | |
---|---|---|
Bugomora | Businde | Isingiro | Kaisho | Kamuli | Kibale | Kibingo | Kikukuru | Kimuli | Kyerwa | Mabira | Murongo | Nkwenda | Nyakatuntu | Rukuraijo | Rutunguru | Rwabwere | Songambele | |