Rwabwere
Rwabwere ni jina la kitongoji, kijiji na kata pia ya Wilaya ya Kyerwa katika Mkoa wa Kagera, Tanzania.
Kata ya Rwabwere | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Wilaya ya Kyerwawww.google |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 11,700 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 11,700 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 20,669 waishio humo.[2]
Kata ya Rwabwere inasifika kwa kuwa na jamii makini ikiwa na watu wakarimu na wazalendo, wachapakazi na pia wapenda maendeleo ambao wanajihusisha na shughuli mbalimbali kama kilimo, ufugaji na biashara.
Marejeo
hariri |
Kata za Wilaya ya Kyerwa - Mkoa wa Kagera - Tanzania | | ||
---|---|---|---|---|
Bugara | Bugomora | Businde | Isingiro | Iteera | Kaisho | Kakanja | Kamuli | Kibare | Kibingo | Kikukuru | Kimuli | Kitwe | Kitwechenkura | Kyerwa | Mabira | Murongo | Nkwenda | Nyakatuntu | Nyaruzumbura | Rukuraijo | Rutunguru | Rwabwere | Songambele |
|