Wilaya ya Malinyi ni wilaya mpya ya Mkoa wa Morogoro iliyopatikana kwa kumega Wilaya ya Ulanga.

Mahali pa Ulanga katika mkoa wa Morogoro kabla ya kumegwa ili kuanzisha Wilaya ya Malinyi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 225,126 [1].

Makao makuu ya wilaya yapo Malinyi.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Malinyi - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Biro | Igawa | Itete | Kilosa Mpepo | Malinyi | Mtimbira | Ngoheranga | Njiwa | Sofi | Usangule


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Malinyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.