Wilaya ya Maragua ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya tangu mwaka 1996 hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Maragua.

Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Murang'a.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Maragua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.