Wilaya ya Mkalama

Mkalama ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Singida, nchini Tanzania ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Wilaya ya Mkalama
Wilaya ya Mkalama is located in Tanzania
Wilaya ya Mkalama
Wilaya ya Mkalama
Mahali pa Mkalama katika Tanzania
Majiranukta: 4°18′21″S 34°41′41″E / 4.30583°S 34.69472°E / -4.30583; 34.69472
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Wilaya ya Mkalama
Idadi ya wakazi
 - 188,733

Makao makuu ya wilaya yako Nduguti. msimbo wa posta ni 43500[1]

Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na wakazi 188.733 [2]

MarejeoEdit

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode
  2. Sensa ya 2012, Singida - Mkalama District Council
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkalama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
  Kata za Wilaya ya Mkalama - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Gumanga | Ibaga | Iguguno | Ilunda | Kikhonda | Kinyangiri | Matongo | Miganga | Mpambala | Msingi | Mwanga | Mwangeza | Nduguti | Nkinto