Wilaya ya Mkoani
Wilaya ya Mkoani ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Pemba Kusiniyenye postikodi namba 74100.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 135,052 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 97,867. [2]
Marejeo hariri
- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kusini - Mkoani. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
Kata za Wilaya ya Mkoani - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania | ||
---|---|---|
Chambani | Chokocho | Chumbageni (Pemba) | Kangani | Kengeja | Kisiwa Panza | Kiwani | Makombeni | Makoongwe | Mbuguani | Michenzani | Mizingani | Mkanyageni | Mtambile | Mtangani | Muambe | Ngombeni | Ngwachani | Shidi | Ukutini | Uweleni | Wambaa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkoani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |